Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu imekamilisha ujenzi wa jengo jipya la muda lililopo maeneo ya Mitonga katika kata ya Nyamilangano litakalotumika na hivyo kuondokana na adha ya muda mrefu waliyokuwa wanaipata Watumishi kwa kukosa Maeneo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.Kabla ya hapo Halmashauri ilikua ikiendesha shughuli zake katika jengo la Ofisi ya kata ya Nyamilangano.
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
Anuani: S. L. P 50 Kahama
Simu: +255282710110
Simu ya kiganjani: +255757625882
Barua pepe: ded.ushetudc@shinyanga.go.tz Tovuti www.ushetudc.go.tz
Hati Miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu . Haki zote zimehifadhiwa